Afisa huyo anashukiwa kusambaza taarifa za siri kwa afisa katika ubalozi mdogo wa Algeria huko Créteil, katika eneo la Paris. Taarifa zinazowahusu wapinzani wa utawala wa Rais Abdelmadjid ...
"Washington kwamba hatozilinda nchi wanachama wa NATO ambazo hazitengi bajeti ya kutosha kwa ajili ya ulinzi," rais wa Marekani amewaambia waandishi wa habari kutoka Ikulu ya White House.
Jeshi la Korea Kusini linasema kosa la rubani lilikuwa chanzo kikuu cha udondoshaji wa mabomu kwa bahati mbaya nje ya eneo la kufanya mafunzo wiki iliyopita. Jana Jumatatu, jeshi hilo lilitoa ...
Uamuzi wa Rais Donald Trump wa kusitisha misaada yote ya Marekani kwa Ukraine ni pigo kubwa - sio kwa Kyiv pekee bali pia washirika wa Ulaya ambao wamekuwa wakishawishi utawala wa Marekani ...
Wanaanga wa NASA Sunita Williams na Butch Wilmore, ambao wamekwama kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu kwa muda wa miezi 9, hatimaye watarejea duniani. Wanaanga hao walienda kwenye kituo ...
KOCHI: Residents in several places in the suburbs of Kochi, especially in areas where the Kerala Water Authority (KWA) network ends, are reeling from a shortage of drinking water. Punithura ...
This is the first major occasion for the 2025 year and promises to be a big one, incorporating 184 events with 160 karateka competing and a combined total of 308 entries from Newcastle, Dundee ...
Mkurugenzi Mtendaji wa UN Women, Sima Bahous amekaribisha kwa dhati kupitishwa kwa Azimio la kisiasa juu ya maadhimisho ya miaka 30 ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa kuhusu Wanawake uliofanyika Beijing, ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo ameonya kuhusu athari kubwa zitakazotokana na kupunguzwa kwa ufadhili wa Marekani kwa programs za kibinadamu za Umoja wa Mataifa. Akizungumza na ...
Vivyo hivyo, kwa Mkoa wa Pwani, ambao ukaribu wake na Dar es Salaam na kukua kwa kasi kwa sekta ya viwanda, hakukuwasaidia wakazi wake kuinuka kiuchumi, kwani takwimu zinaonesha nao ni maskini. Hayo ...
Hayo yameelezwa kwa nyakati tofauti leo Machi 13, 2025 na wadau wa mabaraza ya watumiaji wa huduma katika mjadala wa Mwananchi X Space ulioandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL) kwa ...
MBUNGE wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, ameanza kutekeleza kero za wananchi kwa vitendo. Katambi, ...