Lakini si kila mmoja alikuwa tayari kukubali mahusiano katu yake na Tumelo. Katika kundi kubwa la familia la whatsapp, walianza kwa ujumbe wa kwenye biblia. Mwanzani Ithra alikuwa hafahamu nini ...