Jarida la Forbes limetoa orodha ya watumbuizaji wanaolipwa pesa nyingi zaidi duniani, Sean "Diddy" Combs ndiye anayeongoza. Mapato yake yalikuwa $130m (£102m), jambo lililomsaidia kupanda sana ...